Thursday, 29 May 2014
CATEGORY: HABARI ZA MICHEZO ZA KIMATAIFA
Manchester United ni mayatima
Mmiliki wa Manchester United mmarekani Malcom Glazer ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 85 . Familia ya bwenyenye huyo ilinunua United kwa gharama ya Euro milioni 790 mnamo mwezi Mei mwaka wa 2005 licha ya pingamizi kali kutoka a kwa mashabiki wa klabu hiyo. Hata hivyo, Chini ya umiliki wake uliosabibisha deni kubwa kwa [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON MAY 29, 2014 12:38 PM
Wachezaji 2 wa Ujerumani katika ajali
Wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Ujerumani itakayoshiriki kombe la dunia hukop Brazil mwezi ujao wamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia. Benedikt Hoewedes na Julian Draxler walikuwa ndani ya magari tofauti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya magari ya Mercedes. Moja ya magari yaliyohusika iliwagonga wapita njia wawili karibu na makahawa [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON MAY 28, 2014 7:32 AM
Pochettino ni mkufunzi wa Tottenham
Tottenham Hotspur wamemwajiri Mauricio Pochettino kama mkufunzi wao mpya kwa mkataba wa miaka 5. Pochettino anachukua nafasi ya kocha aliyefutwa kazi Tim Sherwood. Raiya huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 42 alijiuzulu kutoka Southampton baada ya mwaka mmoja unusu katika klabu hiyo, na atakuwa mkufunzi wa 10 katika klabu ya Tot tangu mwaka wa [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON MAY 28, 2014 7:26 AM
Rodgers kusalia Anfield
Brendan Rodgers ametia sahihi kandarasi mpya ya muda mrefu kuwa mkufunzi wa timu ya Liverpool iliyomaliza yapili msimu uliopita. Rodgers ambaye alichukua usukani mwaka wa 2012 kutoka kwake Kenny Dalglish ameiongoza timu hiyo kushiriki ligi ya vilabu bingwa baada ya kukosa kushiriki ligi hiyo kwa miaka minne. Rodgers “‘Nimefurahi sana kufanikisha msingi ambao tumekuwa tukijenga [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON MAY 27, 2014 7:44 AM
Bale brilliance wins Copa
Gareth Bale’s brilliant individual effort five minutes from time gave Real Madrid a 2-1 win over Barcelona in the Copa del Rey final. With Tuesday night’s match in Valencia looking like going into extra-time, Bale broke and beat the challenge of Marc Bartra before poking the ball past Jose Manuel Pinto to win the game [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 17, 2014 6:53 AM
Arsenal climb back to fourth
Lukas Podolski and Olivier Giroud fired Arsenal back into the Premier League top four as the Gunners came from behind to defeat West Ham 3-1 at Emirates Stadium. Giroud’s superb strike early in the second half helped secure a first win in five Premier League outings for the FA Cup finalists, who are now [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 16, 2014 7:28 AM
Wenger hails important win
Arsene Wenger has hailed the importance of Arsenal’s victory over West Ham as his side came from behind to win 3-1 at Emirates Stadium. A Matt Jarvis header from close range put the visitors ahead after 40 minutes, but Lukas Podolski fired into the bottom corner to equalise just a minute before the break in [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 16, 2014 7:22 AM
Liverpool closing in on title
Liverpool took a giant stride towards the Premier League title with a thrilling 3-2 victory over Manchester City on an emotionally-charged afternoon at Anfield. Philippe Coutinho scored the winning goal after City had fought back from 2-0 down with a superb first-time finish from the edge of the box 12 minutes from time after a [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 14, 2014 8:10 AM
Mashabiki wamtaka Wenger astaafu
Arsene Wenger aendelee au asiendelee? Ndio wimbo unaorindima ndani ya mioyo ya mashabiki wa Arsenal. Hii ni baada ya kuchapwa 3 na Everton jana. Mashabiki wanamlaumu Wenger naye Wenger mwenyewe anakilaumu kikosi chake. “Lililobaki kwa silimia 100 tutang’ang’ania nafasi ya nne ingawaje ni vigumu,” Wenger amesema. Ratiba ya Arsenal Tue 15 April: v West Ham (H) [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 8, 2014 7:31 AM
Wakala: Hali ya Shumacher yaimarika
Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher ameanza kuonyesha hali ya kupata fahamu baada ya miezi kadha ya kuwa katika hali ya kutojitambua. Wakala wake Sabine Kehm amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema Schumacher “anaendelea vizuri”, akisema kwamba wana “uhakika”wa kupona kwake. Madaktari nchini Ufaransa wanafanya [&hellip
PUBLISHED BY ADMIN ON APRIL 5, 2014 6:49 AM
DONATE
CHANGIA – TANGAZO

KALENDA
RAJAB |
29Thursday |
Hijrah 1435 |
MAONI YA HIVIPUNDE
- Ramadhan W. Balama: Here we have the Mimbar, audience are looking forward to read and listen....
- julius: The Tanzanian government did a good job to build the hospital in Dar es salaam,I was there...
- Ramadhan Ahungu: Maasha Allah! Keep it up. I'm satisfied with all departments....
- Ali: Here's the link for the app: https://itunes.apple.com/gb/app/isistani/id535650702?mt=8...
- Ash: Our tour was excellent and I really liked our tour guide. He was very professional and inf...
- A Quarterly Journal of Islamic Studies
- Academy for Learning Islam
- Ahlul Bayt Digital Islamic Library Project
- Baran TV
- Birthday Calculator
- Crescent Magazine
- Duas – Supplication
- English Nasheeds – Hameed
- Islam in Focus
- Islam Quest
- Islam Today
- Islamic Encyclopedia
- Islamic Finance
- Islamic Laws
- Jamiatul Urwatul Wuthqa
- Maaref Foundation
- Noor Kids
- Quran Dictionary
- Quran Search
- Quran Site
- Swahili E-Books
- The Shiah Institute
- Zainab TV
- Ziyarat
BLOGROLL
FACEBOOK CONNECT

HIVI NDIVYO NILIVYOPOTEZA BIKIRA YANGU, NA SIJUTII KAMWE……TRUE STORY
Posted by Gumzo on April 16, 2013
Miaka saba iliyopita nikikua katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye alikua bikra ilikua kama ifuatavyo.
Binti alikua wa kwanza kunitongoza pindi nilipoenda kwao sababu kaka yake alikua rafiki yangu baada ya kunitongoza nilimpotezea lakini aliendelea kunifuatilia mpaka nikamkumkubalia tukaanza mahusiano kiukweli hapo mwanzo alikua hana upinzani sema sikua na gheto na nikipanga siku fulani niwe nae may kwa kwenda gheto kwa marafiki tunapishana labda hana mda nk
Kiukweli alionesha kunipenda yaani kuliliwa ilikua kawaida nikisimama na msichana hata kama wa rafiki yangu atakuja mbio na kusimama pembeni nikapata gheto kwa rafiki yangu tatizo likawa hapo geto jmosi na jpili wenye nyumba wanakuepo hivyo ni vigumu kusex
na siku zote anakua shule sasa juhudi zangu zikawa kumbebeleza atege shule tukategue bikra
mambo yote haya yalienda kama miezi 8 hiv
sasa kuna siku akamfuata rafiki yangu na kumwambia anaomba amfundishe maana anafundisha vizuri ni rafiki tu si yule mwenye geto sasa kila rafiki akipita kwao dem alikua anamshobokea mara mluzi wa busu nk
Rafiki bila hiana akaja kunieleza kua dem shobo nikamwambia ngoja nikamsikilize then ntakupa jibu juu ya uamuzi wangu nikamfuata dem nikamueleza nini kinaendelea akasema nothing nikamwambia dont dare to lie 2 me.

Aliendea hivyo kuna siku alikua amekaa na rafiki zake mi nikiwa na rafiki yangu tukapita mara akakimbia mbio baadae nilipomuuliza hakuna jibu la maana so nikamwambia ok wewe na rafiki yangu endeleni usinifatilie wala tusijuane akajibu sawa
Wakawa na mahusiano na rafiki yangu rafiki alikua ananiambia kila ki2 walienda hivyo kwa kama mwezi lakini dem nilimpenda sana na nilimpa special love hakuwai kua mpweke kama ikipita siku hajaniona atanipigia simu huku analalamika lakini rafiki alishindwa kufanya hivyo
dem akaanza kutanga anga kutafuta bwana kwani aliamini atapata tu bwana atakaempenda kama mimi ila kurudi kwangu alikua anaogopa au anahisi mimi nitamrudia kweli nilikua nafanya hivyo zamani akawa anashanga wiki mwezi miezi kimya
Katika kutanga tanga kulikua na mjomba wake aliekua anakaa zamani huyu jamaa yupo tanapa na alishawahi kua bosi mkubwa tu pale maliasiri wizarani hapa karume kwa mbele hata kwenye harusi yake nyama zote zilikua ni za msituni
Kifupi jamaa ana hela nzuri na gari zaidi ya nne nyumba na nk na ni malaya sana na mwmepesi kuhonga hapo.
Binti akawa analeta shobo wakawa kwenye mahusiano na kwa kua walikua wanalala nyumba moja haikua kazi kumtoa bikra akamtoa bikra akawa mpenzi wake kisha akaampa mimba na kufanikiwa kuitoa tangu alipoachana na hana m2 rasmi zaidi ya wale wa kupiga
Akaanza kurudisha majeshi baada ya kuona future haioni na bikra hakuna alinimbembeleza sana nikamkatalia ila nikasema ngoja nipige si nikamkubalia kwa lengo la kupiga na kusepa loh alichosema anashukuru sana kwani bora nimerudi ninaemjulia akaja mazima simu kila saa usipopokea simu analia mmh nikiona isiwe tabu nikapotea ila hua anarudi na kuniita mpenzi direct kila mda but now kachuja sio mzuri kama mwanzo kawa kituko loh ilifika kipindi alikua ananiambia upo wapi nikufuate nikupe penzi wakati mwanzo alikua hataki mmh kuchuja kubaya.
Mwisho sijutii kabisa kwa uamuzi wa kuachana nae kweli mimi naona mbali na inteligence man kwani alivyoanza shobo kwa wa2 moja kwa moja nikajua kinachofuata mimba kama akiitoa na kupata matatizo mimi huenda nikausika au hata kubambikiwa na hicho ndicho kilichotokea hadi ndugu zake walijua kua ana mimba but waliogopa kumwambia shangazi yao hapo wakakaa kimya kusubuli la kutokea hv sasa yupo mtwara anasoma tpsc na ni anajiuza kwa vibabu ili apate pesa
hii ni true story na sijutii kujitoa katika huu msala..
Tupe maoni yako hapo Chini..!!
Filed in: mapenzi
About Gumzo
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Share This Post
Recent Posts
- Msanii Nyota Ndogo ajikuta akimwaga machozi baada ya kundi la watu kumchungulia akiwa UCHI wa mnyama bila yeye kujua…
- Picha: Irene Uwoya akimbizwa hospital baada ya kudondoka na kupoteza fahamu katika msiba wa Recho…
- Onyo! Chunga Sana Namba Hizi Zikupigiapo Katika Simu Yako,Ni Za Matapeli Wakubwa Hapa Bongo,Mfahamishe Na Mwenzako….
- Picha Update: Miili ya Recho na mwanae yawasili leaders kuagwa….
- Ni vilio, simanzi nyumbani kwa marehemu Recho……
Umezisoma Habari Hizi?
Aibu: Angalia Picha za Utupu za Mke wa mtu Alipoliwa Uroda mara baada ya kuzidisha Pombe..!! :Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu na mkazi wa ...
Hali tete wasanii wa Filamu, Msanii mwingine afariki dunia…Ni yule Recho wa Bongo Muvi : Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), ...
Aibu! Vai wa Ukweli anaswa Akifanya mambo ya Laana! : Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu msanii wa Tasni...
VIDEO ya Masogange Akiyatikisa Makalio Yake Kwa Makusudi Mbele ya Wazungu..! : Kwa mara nyingine tena mwanadada Agnes Masogange amerek...
Dawa ya kukamata wezi yazua balaa Tarime…wahusika wapagawa na kuanza kula Nyasi kama Mbuzi..! :Watu saba kati ya 100 Kijiji cha Kenyamanyori, Kata ya ...
Archives
© 1261 GUMZO LA JIJI. All rights reserved.
Sunday, 18 May 2014
----------------------------------
Wewe ni mng’arao machoni mwangu; Tabasamu la midomo yangu; Furaha ya uso wangu; Kwa sababu bila wewe, mimi sijatimia.
----------------------------------
Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.
----------------------------------
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda!
----------------------------------
Unanipa furaha, Unanipa tumaini. Unanipa nguvu, ambayo hunifanya nivumilie. Nakupenda mpenzi, kuliko unavyompenda papa!
----------------------------------
Niliulizwa juu ya kanuni ya ‘Nyutoni’ na nikasema kuwa sijui. Nikaulizwa ni nani Rais wa sasa wa Marekani lakini sikuwa na uhakika kama ni Clinton au Obama Lakini nilipoulizwa kuwa ni nani ninayempenda, jibu pekee nililolifikiria ni wewe.
----------------------------------
Nimekutumia meseji hii kukuarifu kuwa nakufikiria. Natumaini kwamba hii dakika moja ninayokutumia meseji itasaidia kuwasilisha penzi langu moja la milele.
----------------------------------
Nimevutiwa na uzuri wako, Usafi wako umenitia kiini macho na nimestaajabishwa na penzi lako. Mara kwa mara nakuwaza mpenzi wangu.
----------------------------------
Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi, tafadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate maji kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula kukuandalia lakini siku haijawadia, nakupenda dear!
----------------------------------
Leo ni zaidi ya mwezi toka tumeyaanza yetu mapenzi na kila kukicha nakuota kwenye njozi ukinipa majambozi na huishi uchokozi, sijui lini nitaacha hizi njozi kwa kunipa laivu lako penzi, nakupenda mpenzi
----------------------------------
Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa ile true love . . .
----------------------------------
Naapa abadani penzi langu sitalitoa asilani ingawa upo mbali nami, nakupenda amini kwako nimefika, nitunzie langu penzi wasije niibia washenzi.
----------------------------------
Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni, busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu ili ulale kwa raha sweet ?
----------------------------------
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"
----------------------------------
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
----------------------------------
Mpenzi hakika ningekupa ila tarehe mbaya zimefika hali ya hewa imechafuka, vumilia wikiendi ijayo nitakupa, usiwe na pupa, mbivu zako nitakupa hakuna mwingine wakumpa, luv u.
----------------------------------
Kweli wewe ni mpishi! Umahiri wako unaanza kwenye ukunaji nazi hadi upakuaji. Upekechapo ndizi za mtori mimi huwa hoi. Nakupenda mpenzi.
----------------------------------
Mhh kweli wewe ni mtaalam, unayejua kuitumia yako kalamu kila nikuonapo hupata hamu, hujihisi kupoteza fahamu, naomba ufahamu wewe ndio wangu mtaalam! Nakumiss
----------------------------------
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
----------------------------------
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
----------------------------------
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

Subscribe to:
Posts (Atom)
One Response to "HIVI NDIVYO NILIVYOPOTEZA BIKIRA YANGU, NA SIJUTII KAMWE……TRUE STORY"