Thursday, 29 May 2014

CATEGORY: HABARI ZA MICHEZO ZA KIMATAIFA

Manchester United ni mayatima
0

Manchester United ni mayatima

Mmiliki wa Manchester United mmarekani Malcom Glazer ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 85 . Familia ya bwenyenye huyo ilinunua United kwa gharama ya Euro milioni 790 mnamo mwezi Mei mwaka wa 2005 licha ya pingamizi kali kutoka a kwa mashabiki wa klabu hiyo. Hata hivyo, Chini ya umiliki wake uliosabibisha deni kubwa kwa [&hellip
Wachezaji 2 wa Ujerumani katika ajali
0

Wachezaji 2 wa Ujerumani katika ajali

Wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Ujerumani itakayoshiriki kombe la dunia hukop Brazil mwezi ujao wamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia. Benedikt Hoewedes na Julian Draxler walikuwa ndani ya magari tofauti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya magari ya Mercedes. Moja ya magari yaliyohusika iliwagonga wapita njia wawili karibu na makahawa [&hellip
Pochettino ni mkufunzi wa Tottenham
0

Pochettino ni mkufunzi wa Tottenham

Tottenham Hotspur wamemwajiri Mauricio Pochettino kama mkufunzi wao mpya kwa mkataba wa miaka 5. Pochettino anachukua nafasi ya kocha aliyefutwa kazi Tim Sherwood. Raiya huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 42 alijiuzulu kutoka Southampton baada ya mwaka mmoja unusu katika klabu hiyo, na atakuwa mkufunzi wa 10 katika klabu ya Tot tangu mwaka wa [&hellip
Rodgers kusalia Anfield
0

Rodgers kusalia Anfield

Brendan Rodgers ametia sahihi kandarasi mpya ya muda mrefu kuwa mkufunzi wa timu ya Liverpool iliyomaliza yapili msimu uliopita. Rodgers ambaye alichukua usukani mwaka wa 2012 kutoka kwake Kenny Dalglish ameiongoza timu hiyo kushiriki ligi ya vilabu bingwa baada ya kukosa kushiriki ligi hiyo kwa miaka minne. Rodgers “‘Nimefurahi sana kufanikisha msingi ambao tumekuwa tukijenga [&hellip
0

Bale brilliance wins Copa

Gareth Bale’s brilliant individual effort five minutes from time gave Real Madrid a 2-1 win over Barcelona in the Copa del Rey final. With Tuesday night’s match in Valencia looking like going into extra-time, Bale broke and beat the challenge of Marc Bartra before poking the ball past Jose Manuel Pinto to win the game [&hellip
0

Arsenal climb back to fourth

​ Lukas Podolski and Olivier Giroud fired Arsenal back into the Premier League top four as the Gunners came from behind to defeat West Ham 3-1 at Emirates Stadium.​ Giroud’s superb strike early in the second half helped secure a first win in five Premier League outings for the FA Cup finalists, who are now [&hellip
0

Wenger hails important win

Arsene Wenger has hailed the importance of Arsenal’s victory over West Ham as his side came from behind to win 3-1 at Emirates Stadium. A Matt Jarvis header from close range put the visitors ahead after 40 minutes, but Lukas Podolski fired into the bottom corner to equalise just a minute before the break in [&hellip
0

Liverpool closing in on title

Liverpool took a giant stride towards the Premier League title with a thrilling 3-2 victory over Manchester City on an emotionally-charged afternoon at Anfield. Philippe Coutinho scored the winning goal after City had fought back from 2-0 down with a superb first-time finish from the edge of the box 12 minutes from time after a [&hellip
Mashabiki wamtaka Wenger astaafu
0

Mashabiki wamtaka Wenger astaafu

Arsene Wenger aendelee au asiendelee? Ndio wimbo unaorindima ndani ya mioyo ya mashabiki wa Arsenal. Hii ni baada ya kuchapwa 3 na Everton jana. Mashabiki wanamlaumu Wenger naye Wenger mwenyewe anakilaumu kikosi chake. “Lililobaki kwa silimia 100 tutang’ang’ania nafasi ya nne ingawaje ni vigumu,” Wenger amesema. Ratiba ya Arsenal Tue 15 April: v West Ham (H) [&hellip
​ Wakala: Hali ya Shumacher yaimarika
0

​ Wakala: Hali ya Shumacher yaimarika

Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher ameanza kuonyesha hali ya kupata fahamu baada ya miezi kadha ya kuwa katika hali ya kutojitambua. Wakala wake Sabine Kehm amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema Schumacher “anaendelea vizuri”, akisema kwamba wana “uhakika”wa kupona kwake. Madaktari nchini Ufaransa wanafanya [&hellip

No comments:

Post a Comment